Kuna ambao hawataingia chumba cha upasuaji mpaka wapashe, tulikuwa na bingwa mmoja hapa Tanzania aliyekuwa na tabia hiyo na aliaminika sanaDaktari mmoja katika jimbo la Gujarat nchini India amekamatwa na polisi kwa tuhuma za mauaji baada ya kumfanyia upasuaji mama mjamzito akiwa amelewa.
Polisi wameiambia BBC kuwa mtoto alifariki punde tu baada ya upasuaji, na mama akafuatia baada ya muda mfupi.
Je madaktari wa upasuaji wanastahili kufanyiwa vipimo vya vileo kabla ya kuruhusiwa kuingia kwenye chumba cha upasuaji?View attachment 951444
Ngoja niongeze juhud,naweza kula nyama hv hv aise
Nipo mkuu Obe, za masiku kiongozi
Oyaaaaa binamu ndo umetokaa au...poa sana, no complains kabisa. maisha yanasonga na December ndo hii hapa. Ni jambo zuri kukuona hapa tena
Pamoja kiongozi...poa sana, no complains kabisa. maisha yanasonga na December ndo hii hapa. Ni jambo zuri kukuona hapa tena
Poa mzima ww