Wakuu habr zenu nimewamisi sanaaaaaa
Tutambue umoja wetu ndio mafanikio yetu
Jambo kuu huwa kuu kwa kuwa kuna watu wamelifanya kuwa kuu
Tuwe watu wenye subira pamoja na uvumilivu
Tuepuke kuwa kikwazo kwa wengine
Tuwe tayari kuomba msamaha pale tunapo potoka
Mnisamehe pale nilipo wakosea kwa namna moja au nyingine
Niwatakie kila la kheri tunavyo uaga mwaka 2018 na kusubiri 2019
Kila jambo huja na wakati wake na huisha kwa wakati wake
Mapito kwa mwanadamu ni sehemu yake
Tuwe na amani ya bwana
Mungu atuongoze kwa yote
Nawapenda kapuku wenzangu
Huu ni ujumbe wangu wa mwisho kwa huu mwaka
Tuonane mwakani 2019