Makapuku Forum

anaongeza chura?
 
anakuza bamia?
 
Usiku mwema wadau wote mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Happy furahiday pia, let it be an easy one full of smile, laughter and guess what utakaponiona nimevaa tishirt ya free hugs usisite kunikumbatia maana nitakuwa nimejipiga unyunyu mkali wa Prada

 
Taarifa kwa umma:Siku ya leo tarehe 29/11/2018 jiwe amefanya tenguzi moja ambapo babu mtu chake ametenguliwa nafasi aliyokuwa anashikilia na pia jiwe amefanya teuzi moja ambapo ningendako ameula!



Hapa kazi tu!
Hahahah nimeula walah, uteuzi huu wa jiwe wa sasa upo sawa sawa,,,nasubiri kuapishwa tu hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…