Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Jiwe ana mamlaka ya kuteua na kutengua teuzi mbalimbali hapa makapuku!Hahahah huyo jiwe ni nani



HahahahaShikamoo shangazi!![]()
Hongera binamu,tuwekee picha ya chandarua chenye dawaAsubuhi njema wadau. Kama mnataka kujua Jipya basi ndugu yenu, binamu yenu wenyewe amepata mafanikio makubwa sana, yaani kifupi, mambo ya korosho yameanza kunawirisha afya yangu. Nimenunua chandarua kile cha pembenne. Sasa hivi nitakuwa naingia kitandani kama naingia kwenye nyumba.
Ninahitaji pongezi tafadhari
Aniwekee pcha mm

Ebu ngojeni kwanza jiwe ndio nani kama jiwe nae ni kapuku naombeni no yake ya simu jamani nimwambie shida zangu tu

Binamu labdaWenye ugonjwa wenu mpooooView attachment 948961
Ndiwoooo ashukuriwe mtekajiUmeshamaliza ..hahaa
Duhh !! Sijui lini namimi nitakuwa ili nifaidiNdiwoooo ashukuriwe mtekaji
Jiwe ana mamlaka ya kuteua na kutengua teuzi mbalimbali hapa makapuku!![]()
na hapa?Shikamoo mjombaHahahaha
Nimekumbuka RTD enzi hizo
Chei chei shangazi, shangazi ,chei chei shangazi, shangazi ,Chei chei
Endelea kusubiri mkuu,hii zamu ya wakubwa ya kwako badoDuhh !! Sijui lini namimi nitakuwa ili nifaidi

HahahahaShikamoo mjomba
Inaniuma sana kwakweli ..hahaaEndelea kusubiri mkuu,hii zamu ya wakubwa ya kwako bado![]()
![]()
![]()
Poa baba mchungaji wakoMambo bebe'
HahahahhaDaah kweli leo jumaa tatu".. Jf kumepooza watu hakuna kabisa" majukwaa yote nayo pita naambulia ukimya tu ".. watu tuliopo leo ni wachache ...
Poleni Sana kwa Majukumu wakuu
Msisahau Kutumia protection ..Hahaa
Mmekwenda wapi ".!!
WouzeeeeerMbona kimya !!!,? Mnafanya matusi nini "... !?






Hahhahaha kwani mlishakubalianaUnataka utengue uteuziii ?
Marahaba toto za weweShikamoo shangazi!![]()
Hahhahah kwahiyo nimetoka kwenye ushangazi nimekuwa jiwe sasaJiwe ana mamlaka ya kuteua na kutengua teuzi mbalimbali hapa makapuku!![]()