Makapuku Forum

Makapuku Forum

naamini tumekuwa na wakati mzuri Jumatatu hii, hebu tuburudike kidogo na kujipongeza kwa kuwa watu wazuri wengi kwa wanaotuzunguka.

Daah kweli leo jumaa tatu".. Jf kumepooza watu hakuna kabisa" majukwaa yote nayo pita naambulia ukimya tu ".. watu tuliopo leo ni wachache ...

Poleni Sana kwa Majukumu wakuu
 
....naamini unakumbuka vita maarufu kabisa kama vita ya dunia (zote mbili) na vita ya siku sita. lakini je unajua kuwa kumewahi kuwa na vita fupi kabisa kuwahi kupiganwa, yes, ni vita iliyohusisha Mwingereza (Britain) na Sultan wa Zanzibar (The Anglo-Zanzibar War of 1896). Vita hii ilidumu kwa dakika 38 tu. Na sultan akakimbia
 
Unaweza usiamini kuwa huyu jamaa ana asili ya India na babu yake alikuwa akifanya biashara ya viungo (spices) hapo Unguja- Zanzibar. Yeye ni mchanganyiko wa Mwingereza na muhindi-.

kama umewahi kuangalia movie zake basi angalia picha hii

ben-kingsley-3.jpg

Mshindi wa tuzo kadhaa za Oscar, angalia movie Gandhi na ana tuzo ya ya juu ya himaya ya Uingereza inayoendana na jina langu OBE
 
....naamini unakumbuka vita maarufu kabisa kama vita ya dunia (zote mbili) na vita ya siku sita. lakini je unajua kuwa kumewahi kuwa na vita fupi kabisa kuwahi kupiganwa, yes, ni vita iliyohusisha Mwingereza (Britain) na Sultan wa Zanzibar (The Anglo-Zanzibar War of 1896). Vita hii ilidumu kwa dakika 38 tu. Na sultan akakimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakusalimia anko wangu
🍩🍩🥛👨🏾‍🏫🐒🐲🎼🎹🇹🇿🇺🇸🇹🇼🇵🇰 🤓😎🏍🎶🤣🧐🤓natest emojis kama zikionekana kwenye kifaa chako basi jiaminishe una kitu quality sio fekero
 
...hahahhaah, yaani mimi nimenyang’anywa nafasi zote yaani hata mauzo ya korosho hakuna aliyejali
Mkuu inabidi kuanzia sasa hivi nianze kujiweka karibu na jiwe ili siku akifanya tena mabadiliko madogo ya baraza huenda hohehahe mimi nikalamba chochote kitu![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom