Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Shangazi acha uchonganishi halafu kumbe una wivu eeehhh!!Umeona toto bora mahela uliyompeleka China ya kuongeza chura ungenipa shangazi yako
Shangazi acha uchonganishi halafu kumbe una wivu eeehhh!!Umeona toto bora mahela uliyompeleka China ya kuongeza chura ungenipa shangazi yako
Kwani mnajuana humu si nawatambulisha mm![]()
![]()
![]()
ili iweje?
Ngoja niandae tissue nyingi sn naona dalili zote za mafuaWajuaaaneeee ndioooo



HahahhahahhaHahahaha, bana wee,anasikiliza ya walimwengu
Hahahaha, kwa kweli nilijisikia mpweke na mnyonge ,nilkaa kwa Mangi Shayo hapa hadi huruma ,ugimbi ukawa haushuki kabisaHahahhahahha furaha ilitoka kwani
Hawezi kufa mm nipo jamani
Wetu huyu hapinduiHahahaha, bana wee,anasikiliza ya walimwengu
Mjue kondakta mwenzakookwema.?
Hahahahahahah mtoto wa kitanga huyo lazima ufee,nahisi nayeye anawekaga hiriki na mdalasiniHahahaha, shangazi yenu ataniua kwa presha huyu si kwa kumpenda huku
![]()
![]()
![]()
ili iweje?
Sio wivu jamani sasa hana shukrani na kumpeleka China kote kuongeza churaShangazi acha uchonganishi halafu kumbe una wivu eeehhh!!
Hahhahahah nacheka mm
Binam yako anapambanisha ivooKwani walishakubaliana au
Hhahahhahaha kwani unajitoaNgoja niandae tissue nyingi sn naona dalili zote za mafua![]()
AsanteeeeeKwani mnajuana humu si nawatambulisha mm
Hahahhahahha we mzee jamaniHahahaha, kwa kweli nilijisikia mpweke na mnyonge ,nilkaa kwa Mangi Shayo hapa hadi huruma ,ugimbi ukawa haushuki kabisa
Hahahahaha na badooooNgoja niandae tissue nyingi sn naona dalili zote za mafua![]()
Mjomba mtu chake anakufa na presha khaa![]()
Kasemeeeee jamaniNaendaaa kukusemaaa
Na akisema unadhani taumia@Marybaby ni mcute wa nan sema ukweliii