Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
MfyuuuuuWetu huyu hapindui
MfyuuuuuWetu huyu hapindui
Weeeeh ushindweeee sinaga huo ujinga mmHahahahahahah mtoto wa kitanga huyo lazima ufee,nahisi nayeye anawekaga hiriki na mdalasini
Mjue kondakta mwenzakoo



Aiseee leo upo vyema sn unachochea mpk magazeti
Mechii ndo imeanzaaaaHhahahhahaha kwani unajitoa
Anhaa kumbe ni hivo...Hahahaa hatujuan kwakweliKwani mnajuana humu si nawatambulisha mm
JamaniMke mwenzakoo na bado mwingine
NyioooooMjue kondakta mwenzakoo
Kasemeeeee jamani
HahahahahhahaCheka tu shangazi yao,ushanikamata Mzee mzima sina ujanja
MafuaHhahahhahaha kwani unajitoa
Unaanzajeee kuumiaaNa akisema unadhani taumia
Hahahhahahha we mzee jamani
Naomba unipeleke kwa yule mgangaHahahahaha na badoooo
Shangazi acha ramli chonganishi,rafiki yangu hakuna tabia mbaya yoyote anayonifundisha!!Toto angu Behaviourist



Sasa unafanyaje unajitoa au mnaendelea wote wawili hivyohivyo baba wawili uko wapi jamaniBinam yako anapambanisha ivoo
Aiseee leo upo vyema sn unachochea mpk magazeti
Hahahahahahah mtoto wa kitanga huyo lazima ufee,nahisi nayeye anawekaga hiriki na mdalasini
Kwakweli usiumie maana mi nipo kwaajili yakoNa akisema unadhani taumia
HahahhaNa akisema unadhani taumia