...hela ninazo, sema sijalipwa hadi uhakiki umalizike, kwa hiyo wale wakulima ambao wanalima bila kuwa na cheti cha fomu foo watasumbuka sana, mimi ninacho cha mjomba wangu
...kwema sana binamu, nafurahi umekuja mida hii.
Ila tuseme uongo kweli wewe hutamani japo kuhangout na Wema ukilipwa mafao yako? Huyu dada aendelee kubarikiwa hivi hivi abaki singo hadi tulipwe asilimia 25 ya mafao