Makapuku Forum


...ha hahahahahaa, dah, koroshow nimeipenda hiyo, wale wakongo itabidi wajiandae sana, itabidi kwa namna ulivyoikalisha kamati ya kunisaidia kuaminika kwa baby Mary basi mcheza shoo wa Koffi anayekata mauno sana na ana shanga nyeupe anakustahili

 

...huo uzi uko wapi? Nijulishe nikaongeze maarifa maana mimi na Tumosa utadhani tumechanjiwa hapa MF
 
Burudika na muziki huu ambao aunt yangu Shunie kataka uchezwe usiku huu na kama mnavyojua, mimi huwa nakuwa wa mwisho kujua masuala mbalimbali na hivyo nakuwekea uburudike muda huu. na ujue nini wewe mdau wa Jukwaa hili ningendako , Numbisa , Tumosa , marybaby , Lyon Lee , muafi , Slim5 , Behaviourist , Mtoto halali na hela , Mndali ndanyelakakomu , KingY , moneytalk na wewe ambaye sijakutaja, huwa mnanipa sababu ya kuja hapa maana jukwaa hili ni sehemu nzuri kuwepo sababu wewe upo. Alhamis njema

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…