Makapuku Forum

Mungu tunakuomba uibariki na kuiongiza timu ya Taifa ya Tanzania katika mchezo dhidi ya Lesotho...... Mungu ukawabariki walinzi wake wote bila kumsahau Manula..... Ukawatie nguvu na wepesi katika mipango wale viungo wetu..... Usiwasahau washambuliaji Mungu.

Alama tatu kwetu ni muhimu kuliko kwa Lesotho....

 
Naona leo umechukua bila kupenda nafasi ya Tumosa ya kupiga maombi!
 
Mkuu leo tumerudi kutoka China na mambo ni moto![emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 938600
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]a [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chura
Huyo ndo @marybabya
 
Ndiyo,ni rafiki yangu marybaby huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…