Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka nimpate nimpe shikamoo yake ya leo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka nimpate nimpe shikamoo yake ya leo!
YupooooUngenifata nyumban siku ile aliyorudi bwana,ila mbona simuoni tena
Wewe ndio mwalimu wetuAfu mimi ndomnanisema natukana eeeh
Hakuna jipya zaidi ya kumisika [emoji6][emoji6]Niko hapa kuna mpya gani
Acha utani [emoji22][emoji22]elf 8,?
Babaake Mo alitangaza ngapi vile,?
Haha,umemuona Shangazi.?Vipi elfu nane ni kubwa?
King mswati weeeh kwenye ubora wako uleule
Haha,umemuona Shangazi.?
Mzima mama za ww@Shunie umzima mama.?
Yupoooo
Khaaaa jamaniShunie kuamka now wakat kuna kimvuaa ? Mwendo wa kojooo^oo
La kusambaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]la kusambaa au la kuchimba kishimo.?
Tafteni mahela mambo yote mtelezo[emoji23][emoji23] (shngazi amekimbia watekaji)[emoji85]Baada ya kutangaza dau hatimaye amepatikana Mara moja aisee nguvu ya pesa ni noma[emoji23]
Kwani mama kule umeshaachika auTumosa mwambieni shunie mnisaidie kumtafuta tetra jaman
Za mimi fresh,zawadi tafadhaliMzima mama za ww
Tupo dada akee miss umakapuku bado mupo kumbe
Ninemwona nimefarijika moyo wangu@Muafi [emoji111]
Shangaz Shunie Leo kaelekea wapi mbona namtafta simuoni
Katekwa
Shangazi ametekwa mkuu!
Mie pia namtafuta wallah sijampata,nadhani ndio mambo ya wikiendi mjomba kabambia
Katekwa na nani msitake Mimi nikajiua jaman
Na mjomba
Kwan una mkataba nae
Duh apatikane kabla ya kesho aisee
We baba elf 8 mbona ndogo sanaNaweka dau la elfu nane kwa yoyote atakae toa taarifa zitakazosaidia kupatkana kwa Shunie
Ebu shangaaa hivi ananichukuliajeAcha utani [emoji22][emoji22]elf 8,?
Babaake Mo alitangaza ngapi vile,?