Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Na mjombaKatekwa na nani msitake Mimi nikajiua jaman
Kwan una mkataba nae
Na mjombaKatekwa na nani msitake Mimi nikajiua jaman
Salama kapuku,habari ya uzima.?Habari za jioni makapuku
Duh apatikane kabla ya kesho aiseeShangazi ametekwa mkuu!
@MuafiHata sijui naanzia wapi wazima lakiniii nawasalimia tu mm

Anzia hapa,Hata sijui naanzia wapi wazima lakiniii nawasalimia tu mm
Umeachiwaaaaa ?Hata sijui naanzia wapi wazima lakiniii nawasalimia tu mm





Ndio mumchangie sasabinamu yangu ameshindwa kizembe kweli,,angesema kwenye ukoo wetu wa mapacha,tukamchangia aisee
Makubwa hayaHahahaha, utayajua kdg kdg,acha tu Roho mtakatifu niendelee kumuomba
Huwa ni nzuri ukitanguliza Mungu kwa kila jambo, maana anasema 'aombae atapewa'
Hivi uliniwekea binamu nilivyokuomba au...ha hahahaha, asante, nimekumbuka kibao Mary mambo ya Twanga pepeta. Nitaiangalia hii audio na OV (original version) ya video yake.
Hahahaa baba wawili bwanaHahahaha ni kweli kabsa,,mashart lazima tuweke,hatuwez weka dau hlf tusione matunda yoyote
Wazima habari ya wwObe,Shunie na makapuku wote wazima wakuu
King mswati weeeh kwenye ubora wako uleule