vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,497
Nimechukua na ka novida hapa najipongezaSema kweli jamani
Nimechukua na ka novida hapa najipongezaSema kweli jamani
HahaMimi sitaki shangazi yangu aliwe!![]()
Hafafu nyieee😖Hili shangazi akizidiwa na hamu umkule ww shangazi yako upate laana
Hela,hela toa hela baba
We huwez tekwa tena wala usijaliNdio inabidi uongeze sasa ili nisitekwe
Wapi nimesema nataka nimkule shangazi mimi? Mimi sitaki tu shangazi yangu aliwe!Hili shangazi akizidiwa na hamu umkule ww shangazi yako upate laana



Mm hapaKekiii ya nani tena
Novida tena we ni mlokole eenhNimechukua na ka novida hapa najipongeza
AbeeehHafafu nyieee![]()
Nakazia nakaziaHela,hela toa hela baba
EeenhWe huwez tekwa tena wala usijali
Mimi sindio Alwatan!
Sasa asiliwe ili iweje tena jamani na kukulana kulivyokuwa kutamuWapi nimesema nataka nimkule mimi? Mimi sitaki tu shangazi yangu aliwe!![]()
Novida tena we ni mlokole eenh
Jamani sema kweli ni leo upo mkoaniMm hapa
Hahaha mm nimesema tu jamaniKwani kuna uhusiano gani kati ya walokole na novida?
Wouzeeeerrrwewe ndio mwanaume jamani ulikuwa wapi siku zote
Umesahauu kweliiiJamani sema kweli ni leo upo mkoani


