Makapuku Forum

Makapuku Forum

....wewe ni ndugu yangu lakini unavyoniharibia hadi naogopa.
Rais kasema kila mtu atapata kilo mbili, zangu nakupa wewe unafikisha kilo nne endelea kumshawishi huyu mrembo, Mama yenu kanambia anataka msaidizi
Walisema Noah na hatujapata hizo kg 2 zangu wakupe wewe halafu we mzee nilikwambia upambane na hali yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom