..huyu kabadilika mwenyewe hata mimi ananitisha sasa, kila siku namuota (nikiamini ni mdada/mwanamke ili isijekuwa mambo ya mwanamume wa mtwara kumuota mwanamume wa dar0
Laa haulaa...duh, hata wewe nilijua kwa vile wewe ni rafiki wa aunt yangu Shunie basi utakuwa ni ni ndugu yangu pia. Huyu marybaby anko wangu Lyon Lee alinizuia kabisa asinipe namba lakini nazijua fitna za anko wangu na sasa naona dingimtoto anakuja kwa kasi
Inawezekana amenikabidhi ktk hizo ndoto anazootaMary kuna vimaneno vya binamu kamuiga
Nabadilishwa jinsia mie
Nawaamsha kumekuchaHahaha inaweza kuwa kweli kayaona
Ukiuliza ndo unazidi kuharibu..Hahaha kama vimaneno gani shunie
Nimekua mpole kwakweliKuelekea Ijumaa, burudika na muziki huu mzuri na shukrani za kipekee kwako kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo, marybaby , Numbisa , Tumosa , Shunie , nimewataja nyie ila lengo langu ni kumtaja huyo wa kwanza ili niendelee na anko wangu Lyon Lee , ningendako , dingimtoto Behaviourist , Mndali ndanyelakakomu kutaja wachache mnaonipa kila sababu ya kuja hapa muda wote
Kuna hotuba leo kule jukwaa la SIASANgoja tusubr jbu lake
Hotuba ya naniKuna hotuba leo kule jukwaa la SIASA
Eti maono ganiMaono eti, !
Mlinzi umekuja alfajiriJukwaa lipo salama kbs mlinzi nipo
Cc ningendako dingimtoto binamu Obe mmesikia lakini ebu changamkieni ukoMpk ss sijui kunyonywa madam
Kheeeeee makubwa
...huyu ni Mdachi, ana miaka 69 na kaamua kupeleka suala mahakamani ili aruhusiwe kubadili umri wake toka miaka 69 aliyonayo hadi miaka 49.
sababu za kupunguza miaka ni kuwa anahisi kunyanyapaliwa katika masuala ya kupata kazi, na mikopo na zaidi ni kwamba anakosa wapenzi mtandaoni kwa kuwa wanamuona jua limezama kiumri.
Hoja yake nyingine ni kuwa madaktari wamemueleza mwili wake ni kama mtu wa miaka 45 so kama mtu anaruhusiwa kubadili jina, kubadili jinsi (sex) na jinsia (gender) basi kwanini asiruhusiwe kubadili umri wake.
najua utaiona hii kwenye Je wajua baadaye hapa jukwaani
Link: Dutchman, 69, sues to lower his age
Mm kabisa huyu simu ipo chini ya mtoEPUKA KULALA NA SIMU KARIBU YAKO.
Wanasayansi wanasema kuwa kionzi ya simu ni hatari sana wa afya ya ubongo ya mwanadamu ingawa wengi wetu tumekuwa na tabia ya kuweka simu karibu na kivchwa kabisa wakati wa kulala, unashauri kuzima simu yako na kuaa nayo pembeni kutoka na usalama wa afya yako.
Hivi wapo wanaolala na sidiria mm kulala nalala uchi kabisaUSILALE UMEVAA SIDIRIA.
Tunasema kuwa hizi ni tabia mabazo zimekuwa za kawaida kwa maisha ya watu na kuona kama hakuna mdhara yoyote lakini yapo, wanawake wanaovaa sidiria wakati wa kulala wapo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya matiti.
WouzeeeerAsante sana binamu,,wimbo mzur sana hasa ukiwa na mto unaopumua
Ndio shida ya watanzania nakuuliza swali una jibu swali lingine khaa!!
KumbeeeNdio anakuulizaa unajua namna ya kumla samaki??