...kwa hiyo jezi imekutosha wewe?
Yani kuona huoni hata kusoma pia aah unaningushaHahhaha
Ukimaanisha
...huyu mary kwa kweli ninamfurahia, sasa kwa kuwa wewe ni ndugu yangu na unanijua kabisa binamu yako domo zege basi unajua cha kufanya (zawadi yako ya korosho ni ya uhakika, mimi sio kama mjomba wangu Lyon Lee alikuletea jezi iliyombana demu wake mpya)
Hili ndilo la msingi tuvute subraa, huku weekend ikiwa inakaribiaWe subiria majibu ya mary kesho
HahahaHahaha inaweza kuwa kweli kayaona
Ooho!
Vya binamu anavyoongeaHahaha kama vimaneno gani shunie
Binamu swala la jezi limeisha sasa hivi tunasubiria jezi mbili ya simba na ya juve ya man u imeisha...kwa hiyo jezi imekutosha wewe?
Ebu niambie basiYani kuona huoni hata kusoma pia aah unaningusha
EwaaaaaHili ndilo la msingi tuvute subraa, huku weekend ikiwa inakaribia
Napenda lakini hapo nimependa samaki peke yake
Hiko chakula baki nacho mm samaki tuSamaki unajua namna ya kula samaki? Na hicho chakula
Ndio anakuulizaa unajua namna ya kumla samaki??Hiko chakula baki nacho mm samaki tu
Binamu swala la jezi limeisha sasa hivi tunasubiria jezi mbili ya simba na ya juve ya man u imeisha
Ndio shida ya watanzania nakuuliza swali una jibu swali lingine khaa!!Hiko chakula baki nacho mm samaki tu
Asante sana binamu,,wimbo mzur sana hasa ukiwa na mto unaopumuaKuelekea Ijumaa, burudika na muziki huu mzuri na shukrani za kipekee kwako kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo, marybaby , Numbisa , Tumosa , Shunie , nimewataja nyie ila lengo langu ni kumtaja huyo wa kwanza ili niendelee na anko wangu Lyon Lee , ningendako , dingimtoto Behaviourist , Mndali ndanyelakakomu kutaja wachache mnaonipa kila sababu ya kuja hapa muda wote
Marahaba asante kwa kukaziaNdio anakuulizaa unajua namna ya kumla samaki??
Asante kamandaKuelekea Ijumaa, burudika na muziki huu mzuri na shukrani za kipekee kwako kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo, marybaby , Numbisa , Tumosa , Shunie , nimewataja nyie ila lengo langu ni kumtaja huyo wa kwanza ili niendelee na anko wangu Lyon Lee , ningendako , dingimtoto Behaviourist , Mndali ndanyelakakomu kutaja wachache mnaonipa kila sababu ya kuja hapa muda wote
Asante sana binamu,,wimbo mzur sana hasa ukiwa na mto unaopumua