Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
MNAONGELEA NINI????Kwann wanaume mnawaota wanaume wenzenu[emoji4][emoji41]
MNAONGELEA NINI????Kwann wanaume mnawaota wanaume wenzenu[emoji4][emoji41]
Baridi dawa yake kumbatio[emoji276]Kweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima
Majukumu Mungu anasaidia,,,
Nikutakie mchana mwema bro.
Baba wawili huyo hapa nilikuwa najiandaa kuja likes kukuangaliaKwema hapa??
NdotoMNAONGELEA NINI????
Nipo Mary,,,mitikasi tu za hapa na pale.Huku njema kbs,umekua adim
Mimi nilkua naizungumzia hii hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] rudi nyuma kwenye "je wajua
Hapana kwakweli ndio upo hivyo acha yule mbebez akukimbie wengine hatupengi mapanky makubwa wala maafroUjaipenda hii Gentle man Panky
Asante! Nawe pia kamandaKweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima
Majukumu Mungu anasaidia,,,
Nikutakie mchana mwema bro.
Wanaita Kumbatio linalopumuaBaridi dawa yake kumbatio[emoji276]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Neema hiyo hahaha
Woiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntaongeza c na d twende sawa
Hahaha,,,Baba wawili huyo hapa nilikuwa najiandaa kuja likes kukuangalia
[emoji28][emoji28] hiyo tbt ujui leo alhamis tunakumbushiaHapana kwakweli ndio upo hivyo acha yule mbebez akukimbie wengine hatupengi mapanky makubwa wala maafro
Aina ipi ya ndoto?Ndoto
Mzima mm jamani baba wawili sijui we nilikumiss mpaka naumwa jamani kila siku naingia nakuita hola hapa nilikuwa najiandaa kuja likes na we unaingiaHahaha,,,
Habari za uzima shunie??
Nilikumiss aisee
Shukrani sana kaka.Asante! Nawe pia kamanda
Sasa mbona hana ubaya wa kukukimbia kama umemjua sio yy ndio kakukimbia we jamani[emoji28][emoji28] hiyo tbt ujui leo alhamis tunakumbushia
Yule amekimbia kwakuwa mimi nilisha mjua nje ya hapa ndiomana
Wanaume kwa nn mkilala mara nyingi mnawaota wanaume wenzenu tofauti na sisi wanawakeAina ipi ya ndoto?
Eti ukilala unaota jinsia yako[emoji41]Aina ipi ya ndoto?
Aisee,,bhasi kumbe bado na maisha marefu shunie,,nmekuja leo ABJ bado tu hajaachiwa na watekaji??Mzima mm jamani baba wawili sijui we nilikumiss mpaka naumwa jamani kila siku naingia nakuita hola hapa nilikuwa najiandaa kuja likes na we unaingia