Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha,,mie hii kesi nzito naitua kwakweli mtaniita nije nipige mchanga.
Habari ya uzima lkn,? Maana mmepotea mpk Shunie kapata shaka

...anko wangu kupotea ni kawaida, dada yake ambaye bahati mbaya sana ni mama yangu huwa anamuita Bwana Nyumbanyingi, king Mswati sasa anapotelea kwenye nyumba zake, usidanganyike
 
...h ha ahahaha, sikukublock mimi mlaumu sana yule dada wa kiTanga ndo nilimpa namba yako, kumbe ni mtaalamu wa IT, nenda kamuombe msamaha au mlipe hela maana anasema ulikula hadi kukomba afu ukaondoka utasema yeye ni mali ya umma
Malii yako anko
 
  • Thanks
Reactions: Obe
...anko wangu kupotea ni kawaida, dada yake ambaye bahati mbaya sana ni mama yangu huwa anamuita Bwana Nyumbanyingi, king Mswati sasa anapotelea kwenye nyumba zake, usidanganyike
Simu yako unayo wewe kweliii ?
 
Simu yako unayo wewe kweliii ?

,,,...hapana, ninaichaji hapa kwenye bar ya yule demu wako kibonge unayesemaga havaagi shanga, nasubiria mpira wa Manyu na Juve. anakusalimia
 
  • Thanks
Reactions: Lee
,,,...hapana, ninaichaji hapa kwenye bar ya yule demu wako kibonge unayesemaga havaagi shanga, nasubiria mpira wa Manyu na Juve. anakusalimia
Yule shangaa naona hazipendagiiiii ...rafik yake alinipigiaa sijui umemfanya nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom