Usiwe na hofu mdogo wangu,,hata ww utakuwa mkubwa tu kaka ss kaka zako....
Mimi niko salama kabsa,,familia pia haijambo Tunamshukuru Mungu.
Anko Obe muda wake wa kuja hapa kuandika yale mambo yake marefu ni hadi ile mida ambayo watu wanasinzia yaani kuanzia saa nne usiku!
Kuliwa kila mda kulipa mahari iloenda ukweniEbu shangaa mm siwezi hayo mambo kukulwa kila mda
Sayari ya Jupiter ni kubwa kiasi cha kwamba kama bara la Afrika lingekuwa kwenye sayari hiyo, hivyo ndivyo jinsi bara hilo lingeonekana kama mshale unavyoonesha hapo kwenye picha.
Ndani ya Jupiter unaweza ukaziweka Dunia 1,300 zikatosha ila licha ya ukubwa huo bado Jupiter ni ndogo sana ukilinganisha na Jua yenyewe inaweza kuingia mara 10 kwenye Jua. View attachment 922340
Mrembo umeamkaje,,
Ni vyema sana,bila shaka rehma za Mungu mmeamka nazo leo pia
Hiyo mahari yake akaichukue tuKuliwa kila mda kulipa mahari iloenda ukweni
Shunie niajeeeeHiyo mahari yake akaichukue tu
Mpk zikifika nchi ya ahadi (tz) nimeshakua mkubwaIfahamu FlexPai simu ya kwanza Duniani ambayo unaweza ukaikunja kama karatasi kutoka kampuni inayoitwa Royole isiyofahamika na wengi.
Simu hiyo ambayo mauzo yake yameanza kufanyika nchini China kwa dola 1,291 (takribani milioni 3) ni simu ambayo unaweza ukaitumia kama kompyuta bapa (tablet) au ukaikunja na kuitumia kama simu ya kawaida.
Royole ndiyo imekuwa kampuni ya kwanza Duniani kutambulisha simu hizo zinazokunjika kama karatasi sokoni, kabla ya Samsung ambao wao walitangaza kuja na teknolojia hiyo kwenye matoleo ya simu zao zinazofuata.
Cc Lyon LeeView attachment 922342
Tujiandae ssWanasayansi wathibitisha uwepo wa Sagittarius A* - shimo jeusi kubwa zaidi ambalo lipo katikati ya galaksi yetu ya Milky Way. Licha ya uthibitisho huo pia imeonekana shimo hilo linafyonza nyota zilizokuwa karibu katika spidi inayofikia asilimia 30 ya mwanga.
Kila galaksi inashimo jeusi katikati ambalo lenyewe linasimama kama nguzo ya galaksi ikiwamo na mkusanyiko wa nyota zote zilizomo, Jua letu pamoja na nyota zingine zaidi ya bilioni 250 kwa sasa zinazunguka kuelekea katikati ya Sagittarius A*View attachment 922345
Mungu bariki TanzaniaUmoja wa Ulaya unasema umemuita mjumbe wake nchini Tanzania Balozi Roeland van de Geer, kwa mashauriano pamoja na kutathmini upya uhusiano wake na nchi hiyo kutokana na kuongezeka kwa ukiukaji wa haki za binaadamu Tanzania. View attachment 922355