HallelujahSiku ya saba Mungu akapumzika baada ya kuitenda kazi yake ya kuiumba dunia na vitu vilivyomo
Baba wa wawili huyooooo baba wawili wa kudownload jamaniNikikupa ujumbe wangu utaufikisha vyema kumbe.
lile bus la wozuu la kwenda mbinguni tutapata nafasi kweli,?
Ni njema,kanisani cjaenda mm
AsanteeeeKUNA makosa mengi sana yanafanywa na watu katika juhudi za kubaki mrembo au kusaka urembo. makosa haya mara nyingi yanaleta matatizo makubwa hasa katika ngozi , macho au katika kichwa.
mara nyingi shughuli hizi za urembo wanawake hujikuta ama wanapitiliza au wanafanya kinyume na kutaka matokeo ya haraka na matokeo yake ni msheshe.
Khaaaaaaa...malizia kwa usalama, jumatatu niletee simu yako nikague (niko kwenye timu ya RC Mako, kukagua kama una picha na video za We.ma au Amberruty)
Mmesikia jamaniUnachotakiwa na kufutafuta limao au ndimu unaikata kisha unakamua. Chukua kitambaa weka maji maji ya limao na kisha anza kusugua taratibu kwapa lako.
Hakikisha unafanya hivyo wakati ukiwa umetoka kuoga. Pia unaweza kukata limao au ndimu bila ya kukamua na kuanza kusugua katika kwapa lako. Vitu hivyo vina nguvu za kuondoa uchafu katika kwapa.
Wanavaa ili waonekane warefu auKama ni mrefu wastan upo vizuri ila kuna wanaume wengine hawajiamin hasa wafupi wanavaa vyenye soli ndefu
mastyle ntakula ban
...ngoja nikae kiti cha mbele kabisa, hili somo zuri na tunakoelekea utatufundisha na mastyle maana mama yenu anataka style za kikiristo tu. Asante
Emoj ziko wapiiii tuamini...salamu nimeipokea kwa uzuri kabisa, na ninairudisha kwa busu na kumbatio sasa nawe usiwe kama mkara, onesha ushirikiano kama askari shirikishi
Naanzaje kutokwenda kanisaniAnziaa anko aliposema etiii leo umeshindaaa hujaendaa kanisani mwendoo wa kuchoshana etiii
Hehe sijambo shikamoo jamani unaendeleajeHahahaha, binti hujambo,za jpili bibie
Waziri njenje yupo na nani huyo binamu
Kweli eenh basi nitakutafutaHahahaha, nipo binti, hujanitafuta tu
Kweli eenh basi nitakutafuta
Hehe sijambo shikamoo jamani unaendeleaje
Asante sana jamani na kwako piaMarhaba naendelea vzr,nafurahi km uko poa ,nikutakie jpili njema