eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Kwema sanaKwema mkuu
Kwema sanaKwema mkuu
Ulifanya kazi nzuri sana shikamoo shangazi yangu mie!![emoji1][emoji1][emoji1]Sasa shangazi mm shikamoo sitaki jamani
Mambo[emoji12] [emoji12] Shunie atawajibika ktk ulipaji [emoji126]
Tatizo hana chura![emoji1][emoji1][emoji1]
Hata km ni flat screen km wazungu..Tatizo hana chura![emoji1][emoji1][emoji1]
Hongera sanaNipo tu mkuu nachuma uzee
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji4]Umekunywa chai,? Km bd krb [emoji39][emoji39]
Hvi T unanitatufia kesi mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo hana chura![emoji1][emoji1][emoji1]
Kesi gani tena?Hvi T unanitatufia kesi mm
[emoji23][emoji23] hebu kunywa maji kwanza!!...😀Hana cha kutekwa wala nini... we unafikiri Peruvian Hair mchezo!! Hoyaa Wick, laki 4 ushatoa au nitoe mwenyewe na tusitishe kabisa mkataba wenu?! Mwenzako kaamua eti aanze kutafuta sixi paksi utadhani hizo sixi paksi zinaliwa! Jomba Malcom Lumumba, 6 pcs worked better during JK era cuz' dadaz got lots of money making options lakini kwa huyu Msukuma, hizo 6 pcs peleka Colosseum zikasaidie kulinda akina Mo wetu!
[emoji23][emoji23] bunduki zimewakosa majangiri lakini zisije pangiwa kazi maalum!.Lakini mimi na wewe hatufanyiani roho mbaya bhana labda yule jamaa aliyeadimika mtaa huu kwa sababu yupo busy kujadili mambo ya pembe za ndovu!
Yaani mtu aache kupiga sounds na totoz kama akina Tumosa, akaushe kende kwa ajili ya kujadili pembe za ndovu! We Malcom Lumumba, pembe za ndovu zina wenyewe hizoo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajuaKesi gani tena?
Pouwa,,hujambo, ?[emoji4]Mambo
[emoji38][emoji38]ohoo yamekua hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuu zako
Kwa hisani ya umoja wa kinamama tafadhali[emoji4] umoja ni nguvu[emoji125] [emoji125]Ushindweeeee nahusikaje kwenye mambo yenu niwajibike mm
Hakuna namna[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mary acha hzo
[emoji30] [emoji30] tuna gubu sn mama tunaanzaje kunenepa ss kwa mfano[emoji25] ntalibadili km Diva[emoji6] huenda nikapata vinyamaHahahhaha yaani we mm kabisa haya majina ya mary sijui huwa yanakuwa na nn halafu hawanenepagi hawa