Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Achana na hujambo..Pouwa,,hujambo, ?[emoji4]
Nasikia una chura mkuu?
Achana na hujambo..Pouwa,,hujambo, ?[emoji4]
Doh,!bc sawa.Achana na hujambo..
Nasikia una chura mkuu?
Basi pouwa mkuuDoh,!bc sawa.
Chura hakuna mkuu [emoji19]
Barikiwa,iwe njema kwako pia.Wikend Njema wadau
Wala hakuna jipya,lbd baada ya weekend thn tuone yalojiri.[emoji5]...asante, nawe pia. Kuna Jipya!
Wala hakuna jipya,lbd baada ya weekend thn tuone yalojiri.[emoji5]
[emoji1] inategemea na hiyo wikiendi umeendaje km kulikua na mizinga,mafumanizi nk.lzm yaje huku tupeane pole.....ha hahahah, mambo ya wikend yanaishia wikend ukiyaleta j3 unakuwa unatafuta ugomvi. kwa mfano, anko wangu Lyon Lee (unamjua?) yeye wikend hakuna siku anayobaki salama. Akija muulize mgombane
[emoji23] [emoji23] haya nakuachia anko wako mie nalala,mpe salam na wala yasimbane hayo mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo hapa wikend ndo imeanza, marybaby eti ni kweli una chura? Mimi nafuga nyoka nataka tuwagombanishe
Hi[emoji113] [emoji113] [emoji113] binamu...usiku mwema nawikend njema. Leo mimi nalinda hapa ila kwa sasa hivi nakula monde na kuangalia shoo hapa Kontena pub
Hi[emoji113] [emoji113] [emoji113] binamu
Ndio mida ya wanga hii binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...upo poa mama JJ! naona umeibuka mida ya popo
Hii salaam nimeipenda,na mimi nataka![emoji19][emoji19][emoji19]Hi[emoji113] [emoji113] [emoji113] binamu