marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
[emoji6][emoji6]ngumu kumeza,shida kutema pia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji6][emoji6]ngumu kumeza,shida kutema pia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama wawili hajambo kabsa,,ln unakuja kumsalimia huku??Nzuri baba wawili jamani za kwako uko mama wawili nae anaendeleaje
[emoji12] [emoji12] Shunie atawajibika ktk ulipaji [emoji126][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo salamu haijatoka bure bure,,,ina malipo yake hyo
Shangazi lazima asalimiwe shikamoo!!He he na shikamoo tena jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwan hyo marhaba kapokea shunie???[emoji12] [emoji12] Shunie atawajibika ktk ulipaji [emoji126]
Nimeipokea mimi kwa niaba yake na wengineo (umoja wa wanawake utahusika ktk ulipaji)[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwan hyo marhaba kapokea shunie???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mary acha hzoNimeipokea mimi kwa niaba yake na wengineo (umoja wa wanawake utahusika ktk ulipaji)[emoji4]
Kheeee malipo tena yapi hayo kaka ninge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo salamu haijatoka bure bure,,,ina malipo yake hyo
Hahahhaha yaani we mm kabisa haya majina ya mary sijui huwa yanakuwa na nn halafu hawanenepagi hawa[emoji6][emoji6]ngumu kumeza,shida kutema pia.
Kuja kumsalimia tena mm watu was kudownload sitakiiii kabisa kaka ningeMama wawili hajambo kabsa,,ln unakuja kumsalimia huku??
Weekend vp huko
[emoji12] [emoji12] Shunie atawajibika ktk ulipaji [emoji126]
Ushindweeeee nahusikaje kwenye mambo yenu niwajibike mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwan hyo marhaba kapokea shunie???
Sasa shangazi mm shikamoo sitaki jamaniShangazi lazima asalimiwe shikamoo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuu zakoNimeipokea mimi kwa niaba yake na wengineo (umoja wa wanawake utahusika ktk ulipaji)[emoji4]
Hatujambo sisi sijui wwNawasalimu wote mlioko ndani ya jukwaa hili pendwa
Kwema mkuuNawasalimu wote mlioko ndani ya jukwaa hili pendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuja kumsalimia tena mm watu was kudownload sitakiiii kabisa kaka ninge
Wewe tulia shunie,,,nilimsalimia kwa kumtenga tu na yy kajaa,,,malipo lazmaKheeee malipo tena yapi hayo kaka ninge
Niko poa shunie namshukuru MunguHatujambo sisi sijui ww