Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE:Baba ni siku nyingine mpya Ijumaa tarehe 2 Novemba umetuamsha tukiwa salama Asante Baba kwa wema na fadhili zako.Tunaomba Toba kwa makosa yote Uturehemu twakusihi.Siku ya leo tunakabidhi vyote ulivyotupa na tunaomba uendelee kutusimamia katika kila jambo.Asante kwa uponyaji wa miili na Roho zetu na asante kwa farajja kwa wafiwa na namna unavyozidi kutubariki siku hadi siku.Wape tumaini wajane,wagane na yatima wasikuache Baba mwema.Endelea kuwasimamia watoto wetu na wajukuu wetu tunaomba Roho Mtakatifu akawe na kila mmoja na atufundishe namna ya kuishi vyema.Tunaomba Baba yote uyatimize sawasawa na mapenzi yako katika jina la Yesu Kristo Amen.
IJUMAA NJEMA NA DAMU YA YESU ITUFUNIKE
Ameen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom