Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Wazee tunazeeka mkuu..Kwa upande wangu naona JF inaboa Sikh hizi! Hakuna mada za kuchangia wala stories za kuchangamsha. Hata we sikuoni kwenye mada kule.
Vipi lakini kilimo huko
Tunakosa muda wa kuja jf..
Tumewaachia ninyi vijana sasa.