Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Unapenda korosho mpwa ?Jamani mtwara nikisikia nakumbuka korosho zangu kwa binamu obe
Pole sana anko Mungu akuponye jamaniHahahahaha,
Ntapona tu, sema nilivuruga sana mlo hapa katikati naona ndiyo naipata sasa.
Lakini mambo yatakuwa sawia tu....
Sanaaa anko na uko mbeya maharage na mcheleUnapenda korosho mpwa ?
Hahhahhaha nani hamisaAnawazimu huyu
Hahahaha, ninyi vijana siwataki kabisa.Aisee mkuu ukiwa Dar nipitie nami twende wote kagera au mtwara.
Mhh,Sanaaa anko na uko mbeya maharage na mchele
Ahsante sana Shunie,Pole sana anko Mungu akuponye jamani
OoohMhh,
Mbeya siku hizi hakuna Mchele mzuri.
Wanategemea Mbegu ya Kamsamba. Ile ya Kyela imekuwa adimu sana na inaelekea kupotea.
Maji ya moto waweke na chumvi usisahau ankoAhsante sana Shunie,
Ntakuwa salama wala usijali.
Mchele wa Mbeya unatokea Kamsamba.Oooh