Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Mimi mzima kabsa dada angu,,,asante pole na ww piaSijambo kaka yngu uko mzima?
Pole na majukumu
Tupo tunapambana
Mimi mzima kabsa dada angu,,,asante pole na ww piaSijambo kaka yngu uko mzima?
Pole na majukumu
Marhaba dada ake,,,nilikuwa sijaiona hiiShikamoo kaka ningendako
Salama kabisa ndugu yangu, huko mambo vipi ?Kwema mkuu,,habar za majukumu??
Huku mambo poa kabsa,,,Tunamshukuru Mungu..vp umeshapata time kupitia zile latest latestSalama kabisa ndugu yangu, huko mambo vipi ?
Kwa hiyo umezibia masikio ushauli wa Shunie eeh?Shikamoo kaka ningendako
Mimi mzima kabsa dada angu,,,asante pole na ww pia
Tupo tunapambana

ww si muhenga lakini,ntakuamkia tu hamna namnaFugia kuku mkuuTangu nisikie bilionea mwenzangu yule wa Leicester City kafa kwa ajali ya helikopta hii yangu nimeipaki tu ndani
Mkali umeisikia Album mpya ya Lupe ?Haujambo Tumosa,,,
Hapana mkuu,,,album lake jipya linaitwaje aisee??Mkali umeisikia Album mpya ya Lupe ?
Drogas Wave, ni ya kigumu sanaHapana mkuu,,,album lake jipya linaitwaje aisee??
Lupe huwa yupo real sana
Tangu nisikie bilionea mwenzangu yule wa Leicester City kafa kwa ajali ya helikopta hii yangu nimeipaki tu ndani