Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,338
- 201,591
Habari yangu ni njema kwa kweliHbr yaki cole
Vipi wewe mrembo Tumosa
Habari yangu ni njema kwa kweliHbr yaki cole
Marahabaa Shunie, mzima.Anko shikamoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli uraiani ukivaa vimini vyako kijana huyu hapa
Mzee niko poa sanaaa, habari zako.Nichorous Cage niaje mzee
Kumbe hii avatar niliyoweka ya watu ana mgongo mzuri eenh
Na mm unanifukuza hunioni humu wewe endeleaShikamoo dada
Nitakufwa shunie mmMaraaap paaaap..
Mungu kaziba kitobo
Sirudii jamani
Utajua mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema aki
Niko poa shem wangu mmSo far so good
Shemeji vipi huko ulipo?
Na mm nataka kuja kuwaonaNyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema mkuuSafi kwema shunie
Mzima anko wangu za wwMarahabaa Shunie, mzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbiii wewe wajaze watu niandikiwe thread na yule hance nilipo pachafu aiseee yule mwanaume hapanaYa watu waapiii,ya kwako hio nshaikariri toka kwenye avatar iliyopita
Mpwa nipo nachuma uzee kila siku, eti leo nimeamka miguu imegoma kutembea kabisa. Ikabidi nitafute fimbo ya kutembelea tu...Mzima anko wangu za ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbiii wewe wajaze watu niandikiwe thread na yule hance nilipo pachafu aiseee yule mwanaume hapana
Shikamoo mkuu!Mpwa nipo nachuma uzee kila siku, eti leo nimeamka miguu imegoma kutembea kabisa. Ikabidi nitafute fimbo ya kutembelea tu...
Nimefurahi sikia hivyo shemejiNiko poa shem wangu mm
Marahaba Vinci, mzima wewe Mkuu wangu ?Shikamoo mkuu!
Mzima wa afya mzee wangu!Marahaba Vinci, mzima wewe Mkuu wangu ?