Hahahaha hamna jipya msimu huu simba
Tutapanda hapo juu we subiri
Anakupangia masharti kuhonga kwenyewe anajua lakini?!Jamani aliyemteka Wick aniachie hata kidogo kila akirudi ananiambia rudisha avatar ya mwanzo siipendi hii haswa hizo nywele namwambia kama hazipendi natural hair zangu anipe laki 4 nikanunue Peruvian hair na vile alivyo mbahili sijui kama atanipa
Miminimkucheka akaalimasana
HahahahUsiku mwema wadau
Ambaye hajaingia ndani aingie saa hizi
TUOMBE:Baba Mtakatifu Mungu wetu mkuu usiyeshindwa na lolote asante kwa asubuhi ya leo Ijumaa tarehe 26 Oktoba 2018 Asante kutuamsha salama wapo wengi walitamani kuiona leo hawajaweza Mfalme wa Amani tunajikabidhi mikononi mwako Baba siku ya leo miili yetu na Roho zetu Baba tusaidie tukufuate wewe tu.Tunaomba toba Baba kwa yote tuliyoenda kinyume na mapenzi yako Uturehemu .Tunawaombea wagonjwa wote majumbani na mahospitalini Baba wape uponyaji miili na Roho..Tunakabidhi Ratiba zetu zote za leo Anza nasi maliza nasi Mungu wetu.Tunawaombea wafiwa,yatima,wajane ,wagane wape faraja na tumaini wakuangalie wewe tu.Futa machozi ya sirini Mungu wetu tuimarishe imani zetu tukuone wewe tu kwa kila tunalopitia.Tunaomba Roho Mtakatifu Tufundishe Tuongoze Tusaidie Tuimarishe katika maisha yetu na kila hatua uwe nasi.Wabariki wasafiri majini ,nchi kavu na angani tuende na kurudi salama .Siku ya leo Amani,Upendo, Mshikamano ukatawale katika kila familia .Na kila mtu avae silaha za Imani kikamilifu Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen
IJUMAA NJEMA NA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTU ITUFUNIKE![]()
Makapuku wenzangu kumekucha salama na baridi kali huku
MoshiUko wapi huko mbona huku kwetu joto
Usijitoee![]()
Mambo mkuu, asante kwenu hamna baridi
KheeeeeeWe nipende tu mkuu![]()
![]()
![]()
We niue tu.. utajua cha kumwambia shangazi! Lakini nife shida yote hiyo nini wakati wewe ni binamu... si nahamia tu kwa shangazi! Halafu uzuri wa binamu huwa haongwi!
Pole mnooMoshi
Hahhaaahaahhha anko Malcom Lumumba ebu ukuje jamani utoe utambulishoUncle wako nani?! Huyu Malcom Lumumba, au mwingine?! We mama yako, mimi shangazi yangu na ndio maana nakuita binamu... kama uncle wako, ina maana kakake na shangazi... mi mbona simjui?! Kuzaliwa nani, akaja nani hadi akawa kakake na shangazi? Kwa babu na bibi yupi? Je, uncle yaani baba yako anamfahamu huyu jamaa?! Ndo mshaanza hivyo,
Anakupangia masharti kuhonga kwenyewe anajua lakini?!