Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20181026-085049.jpeg
Screenshot_20181026-085108.jpeg
 
Hahahaha kaka chige huyo anko wangu hawezi nifanya chochote
Uncle wako nani?! Huyu Malcom Lumumba, au mwingine?! We mama yako, mimi shangazi yangu na ndio maana nakuita binamu... kama uncle wako, ina maana kakake na shangazi... mi mbona simjui?! Kuzaliwa nani, akaja nani hadi akawa kakake na shangazi? Kwa babu na bibi yupi? Je, uncle yaani baba yako anamfahamu huyu jamaa?! Ndo mshaanza hivyo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom