Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani aliyemteka Wick aniachie hata kidogo kila akirudi ananiambia rudisha avatar ya mwanzo siipendi hii haswa hizo nywele namwambia kama hazipendi natural hair zangu anipe laki 4 nikanunue Peruvian hair na vile alivyo mbahili sijui kama atanipa
Hahaa! We jamaa sijui utapeli umeanza lini! Ndo maana nikasema hapo kabla kwamba, kuanzia sasa sikuamini hata punje:


Muda mfupi baadaeMkuu Wick, tafadhali njoo utuondolee huyu mtu wako umpeleke huko jukwaa la inteneshino au akajadili makinikia manake hili jukwaa limejaa tusichana tudogotudogo kama akina Demiss na binamu yangu Shunie!

Ni ngumu kwao kugundua hawa matapeli... unashitukia tu manyoya yapo jalalani!
 
Mi mbona niliiona ile post dada Shunie... ndo maana nikasema simwamini tena huyu jamaa! Sema dada Shunie na wewe unapoongea na mimi usiwe unaongea kwa mapozi namna hiyo bhana! Unanipa mtihani ujue wakati unajua kabisa wewe ni binamu yangu!
Hahhahaha sasa kaka chige mbona hapo sijaongea kwa mapozi hivi nikiongea kwa madeko yangu si utakufa jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom