Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Kulikuwa kheri kabsa binamu,,,naona bado tunaendelea na rekodi yetu ya ushindi kwenye ligi kuu,,,Yanga
...Yanga timu mbovu sana, umeuona mpira unaopigwa pale Msimbazi? Mtu juzi kapigwa tano kwa taaabu sana, Yanga wakataka kucheka ila nao wakakumbuka walichezea mkono miaka ila, wakaa chini ila hawakufa