Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bilionea huyo wa Kijapani mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 2.9 (Forbes) amesema katika safari yake hiyo itakayosimamiwa na Space X ataongozana na watu sita ikiwamo mpiga picha, muongozaji filamu, mwanamuziki, mwanamitindo, na mhandisi wa majengo.
Screenshot_20181026-093422.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Bilionea huyo wa miaka 42 kutoka nchini Japani, ambaye ni mmiliki wa mtandao maarufu wa nguo Zozotown, atakuwa mteja wa kwanza wa kampuni ya safari za nje Space X inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk
Screenshot_20181026-093540.jpeg
 
Joto hilo kubwa zaidi lilitengenezwa kwenye maabara za CERN wakati wanasayansi walipokuwa wakitaka kufahamu aina mpya ya matter inayoitwa QCP pia kufahamu muingiliano wa Protons, Neutrons na Nucleons.
Screenshot_20181026-093639.jpeg
 
Kama Donald Trump akikubali basi hiyo ndege yake mpya itaitwa 'iPlane' ila kitu asichofahamu msanii Kanye West kampuni ya Apple hawatengenezi ndege.

Screenshot_20181026-093905.jpeg
 
"Hire Me" ni app ambayo kwa sasa inazaidi ya wasichana 1,000 ambao wapo tayari kukodishwa nchini China

Eti nyie wanaume ngoja niwaulize mm shunie kuna faida gani kama huyo mwanamke hamkulani mana hata madomo zege hii app haitawasaidiaView attachment 911300
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom