Makapuku Forum

Makapuku Forum

...kutafuta na kupata mbona rahisi tu humu, aanzishe uzi, aweke picha yake ya mwanamuziki mwenye six pack afu ajiseme yeye ana gari na anakaa Mbeya. Afu aseme tu alishafika Dar (kama hakai Daslamu).

Mimi kumtafutia siwezi maana na sina sababu ya kutoweza.

Vipi ombi langu la email umeliona? Au huna email unatumia ya anko Lyon Lee
Hahahahahah aisee haya anko binamu
Mmmmh baada ya namba umehamia kwenye email tena ila uzuri jibu unalo mwenyewe
 
4.Vyakula Vinavyotengenezwa Hotelini Kutumia Viungo Mbalimbali.



Tumekuwa tukila chemicals nyingi hasa hotelini , maana kila kiungo chao ni ready made, kwa maana kimetengenezwa tayari muda mrefu. Na huko mahitaji yao huwa sio fresh, wanatumia vitu vilivyokaa muda mrefu wengi wao. Nakushauri tu kutumia chakula cha nyumbani amacho ni fresh kwa ajili ya afya yako , kama unajali.

Lakini unaweza kuagiza aina ya chakula ambacho hakina viungo kabisa, na lazima uwe unafahamu kuwa kitakuwa fresh.

...hebu tuangalie na uhalisia hapa, kupata chakula fresh inatamkika poa sana (sounds great) lakini kwa dunia ya sasa uzalishaji wa nyama, mbogamboga, matunda unatumia kemikali unahitajika zaidi sababu watu tunakula sana. Hii inaifanya ardhi ishindwe kuendana na kasi yetu ya ulaji na kufanya tutumie kemikali kuzalisha vyakula, umeisikia GMO nadhani.
Mahitaji haya yanafanya nyama iandaliwe kiwandani, itunzwe kwenye majokofu ili kukuwezesha wewe unayekula karibia kilo 32 za nyama.

Nyumbani tumejaza mafriji kutunza vyakula. Anyway sijui nilitaka niandike nini
 
6.Keki za mitaani na mikate iliotengenezewa Siagi.



Nimekuwa nikifikiri kuwa keki na mikate ni nzuri kwa sababu imetengenezwa na unga na mayai. Lakini kumbe ni hatari sana kula keki , mikate myeupe , kidogo ule mkate wa unga usiokobolewa . kila ukinunua keki za kiwandani soma kiti yake imetengenezwa na nini utaona jinsi zilivyo na sukari nyingi . vitakusababishia kupata kisukari na uzito wako kuwa mkubwa. punguza au acha kabisa kula hivyo vitu.

...kwani keki unakula kila siku? Sometimes you need to spoil yourself a little bit. Unaweza ukaamua kula sneaker bars zenye maziwa na fursana za kutosha
 
mboga ya kijani ya leefy.



Zipende mboga za kijani, penda mboga ya kale, spinachi na mboga zingine zote zenye kijani iliokolea. leefy green zinatengenezewa salad, supu, pasta na casse roles, zina faida kubwa mwilini , kwa kuwa zinazuia saratani hasa ya mdomo na koo.

Pamoja na kwamba hakuna risasi ya kuipiga saratani inapoingia mwilini, lakini kuna njia nzuri za kuzuia isiingie mwilini mwako.

...nimekupata hapa lakini sasa nayo isiwe too much, mtu anakula mbogamboga hata ukipishana naye ustasema umepisha na bustani ya mchicha au spinach
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dadangu mnaugomvi gani kwani maana husemagi nambie leo

.....kosa lilikuwa kubwa sana, Tumosa alimuambia anko aache kurambaramba maana anawakosesha raha mabinti anko akajitetea yeye harambirambi anakula kabisa tena. Ndo hivyo ikabidi awekwe kwenye list ya wabaya wetu
 
Back
Top Bottom