Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
@abj umesikia ?Nyanya.
Nyanya ni kiungo kizuri kwenye vyakula mbalimbali, lakini pia ni chakula kinachosaidia kupigana na saratani. tumia kama mboga zingine, hasa kachumbari ni nzuri iliyotengenezwa na nyanya. tumia kama diet.