Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Naomba nikusalimie katika jina la mama mchungajii ...mapenzii yapo au yapo kama hayapo kama ya yule sasha..anko, umemuita Husna mwingine kabisa, yule wangu ni husna muba huyu uliyemuita akiliamsha utalala nalo, ila nakuaminia Mbwana Sammata ukikosa penati unafunga magoli ya mbali