Mboga Ya Cruciferous.
Mboga ya cruferous ni lishe yenye nguvu na imekusanya vifuatavyo , broccolli,qauliflower na kale, hizi zote ni mboga bora katika kundi lote la mboga ambazo zinapigana na saratani, kula hizi mboga kila siku ukiweza. kama una mazoea ya kufuatilia jinsi ya kuzuia saratani tumia diet hii.
kwa nini? zina sulfur ambayo ina sulforaphones, haya ni maneno ya kichemia. vina uwezo wa kusukuma mwili kupigana na saratani. inasaidia kuzuia aina tofauti za saratani , kama ya ini, tumbo, ngozi na bladder.