Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mimi au wewe ndo ulifungishwa...oh, anko bhinamu asante sana kwa namba hii. Sasa roho na moyo wangu vimetulia. BTW, nimefurahi kukuona tena hapa, tulikumiss sana, hasa mimi, wengine kama walikumiss watasema nisiwasemee ila anko wangu Lyon Lee kabatika kufungishwa ndoa ya mkeka na binti wa maalimu wakati wewe haupo, nisimsemee atasema mwenyewe kama akipenda. Ndoa ilifungwa kule ujiji, ilikuwa ghafla


