[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mume mwenza naona Umeshaachwa totally ".
Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chakeKumekuchaaaa swalamaaaa
Karibu shemelaAmka na magazeti na makapuku inakujia punde
Usinambie karudiYupo chit chat uko kamshushia bday wishes mbebez wake @Taranscend
Mkuu leo ni zamu yako ya kulinda jukwaa usiku![emoji847][emoji847][emoji847]Kumekuchaaaa swalamaaaa
Uko poa lakini na uncle wangu D hajamboNzuri shemela
Shikamoo my swi[emoji8] [emoji8]Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake
Uko poa Sari
Leta majambo shemelaJe wajua au unataka nikujuze zaidi kuwa nami shunie shunie
[emoji23] [emoji23] kesho wwMkuu leo ni zamu yako ya kulinda jukwaa usiku![emoji847][emoji847][emoji847]
Karibu shemela
Nikimpata mwenye msambwanda tutalinda woteMkuu leo ni zamu yako ya kulinda jukwaa usiku![emoji847][emoji847][emoji847]
Usinambie karudi