Makapuku Forum

...ngoja zikauke, nizibangue, nikuletee na vocha (stakabadhi ghalani) ufaide maana wewe ni bahati mbaya sana uko ndugu yangu
Binamu kila siku wimbo huu huu kuhusu korosho
 
Hahahahaha wana hasira si wakina na stress hawana pa kupunguzia
 
jamani anapandaje hapo
,,,na tena anakaa kwa raha sana, kuna apartment moja kule Ngudu kodi ni elfu 27 mia tano kwa mwezi. na ukipanda lazima kama ni mwanamke uwe umevaa kyupi
 
...yaani ukilala unakuwa kama moja, umenyooka bora gogo lina vinundunundu.

Hivi mnaongelea nini, mjue kukata magogo hakuruhusiwi hasa ukiwa safarini maporini na magogo ya mbao yanasababisha ukataji wa miti
Kwani binamu ww umeelewaje
 
Binamu ebu tupumzisheni jamani na man u yetu
Nipo binamu, naangalia mpira hapa maana timu yangu huu mpira inaocheza bia inashuka kilulaini, sio kama mashabiki wa Man u siku hizi wakiwa wanaangalia mpira wanakunywa safari lager
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…