Eeeeeh...Utafiti umebaini kuwa watu wenye miili midogo hukabiliwa na hali ya kupoteza fahamu hasa wanapokunywa pombe kupindukia.
Wanawake pia hukabiliwa na hali hiyo kwa sababu viwango vya pombe hupanda haraka kwa wanawake kadiri wanavyokunywa pombe bila kunywa maji.View attachment 886166


EtiiiHapana...
Mambo ya kukulana muulize shunie
Eeeenh9.Hukufanya uridhike na Kusahau matatizo yako kwa muda fulani
10.Kuimba mbele ya watoto wako huchangia kwa kiasi kikubwa katika ubora wa maendeleo yaoView attachment 886126
Eeeeeh...
Wazee wa kuzima![]()
Etiii
Sasa mtu yuko kama moja...Nimejiuliza sijapata jibu unazimaje
Anauliza jana ulikulwa?
KumbeeSasa mtu yuko kama moja...
Afu anakula mipembo ya 40% alcohol
Unategemea asimame?
Loooooh!!....Rafiki hapahapa jukwaani mimi sipendi kwa sababu huwa nakuwa na aibu sehemu ikiwa na watu wengi kama hapa!
so unataka wap rafikiSema kweliUtafiti umebaini kuwa watu wenye miili midogo hukabiliwa na hali ya kupoteza fahamu hasa wanapokunywa pombe kupindukia.
Wanawake pia hukabiliwa na hali hiyo kwa sababu viwango vya pombe hupanda haraka kwa wanawake kadiri wanavyokunywa pombe bila kunywa maji.View attachment 886166

Jiandae kupoteza fahamuSema kweli![]()
![]()
![]()
![]()
Woyoooooo!Kulwa lazima nikulwe sababu nalala na mwanaume
Hivi post huwa ni copy and paste ama unatype kile mara unapopost?Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii motoooooo hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiuwake motooooo
![]()
Tumosa akila vitu vya 40% anakufa tunamzika kabisa..Sema kweli![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbee
Ndo wap sasa,hebu nielekeze