Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nipo shemeji mnoko!.. Sikukuona siku kadhaa humu nikajua tayari umedakwa sehemu nijinafasi freely.
Nilitekwaa lakini nyumbani nilikuwa nakusubiriaa unuse pua nizibabuee au ndo wewe ulikuwa unamleta dada akidaii ni uber make na hawa uber wametuleteaa kasheshe ...yaaan mke analetwa na mchepuko ukiuliza anakwambia uber
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]exactly my dear,huyo bwana wa mtandaon ukimuomba ya vocha fasta unajikuta ushaanzishiwa uzi. Bora wa laivu laiv hana pa kulalamika
Poa za ww
Najua ww na mabwana wa mtandaoni tofauti kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
SABABU KUMI KWANINI UNATAKIWA UANZE KUPENDA KUIMBA

1.Hurudisha furaha yako na kuondoa uchovu! Pia hukufanya ujihisi unaamani sana.

2.Hupunguza Uwezekano wa kupata Shinikizo la damu.

3.Huongeza hali ya kujiamini. Utafiti unaonesha kuwa, asilimia 64 ya watu wanaopenda kuimba hujiamini pia katika mazingira ya kawaida.





4.Hukusaidia kupunguza uzito hasa ukiimba na kucheza
SING7.gif
 
Back
Top Bottom