Nmekuwekea mkuuMkuu mimi shida yangu ni maombi tu basi mengine namuachia Mola anisaidie kumalizia!
@shululuWewe unampenda nan zaidi ili ambaye umpendiii nimsaidie
Pm ndo wap kwanRafiki umefika ule muda wangu maalum wa yale maombi yangu binafsi ya pm?
Hale,munoge yubhe[emoji23] [emoji23]Mnogage🙂
Sasa rafiki maombi ya mtu binafsi huwa unamfanyia wapi?Pm ndo wap kwan
KaribuHaya nimekuja...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa wa kuishia nao jukwaani tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]exactly my dear,huyo bwana wa mtandaon ukimuomba ya vocha fasta unajikuta ushaanzishiwa uzi. Bora wa laivu laiv hana pa kulalamika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu Obe utuanzishie darasa la sauti wengine tukiimba hatina tofauti na chura akikoroma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]SABABU KUMI KWANINI UNATAKIWA UANZE KUPENDA KUIMBA
1.Hurudisha furaha yako na kuondoa uchovu! Pia hukufanya ujihisi unaamani sana.
2.Hupunguza Uwezekano wa kupata Shinikizo la damu.
3.Huongeza hali ya kujiamini. Utafiti unaonesha kuwa, asilimia 64 ya watu wanaopenda kuimba hujiamini pia katika mazingira ya kawaida.
4.Hukusaidia kupunguza uzito hasa ukiimba na kuchezaView attachment 886121
Hapa hapa jukwaaniSasa rafiki maombi ya mtu binafsi huwa unamfanyia wapi?