Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hata sijui kama saa hizi ninaruhusuiwa kuuliza chochote hapa maana nimepata maarifa mazuri na adimu kuyapata sehemu nyingine.

Asante Numbisa kwa makala nzuri, na leo unajua nini, zimekuwa fupifupi na zinaeleweka vizuri, dating ni kitendo sahihi kama unampango wa kuwa na mtu wa kuishi naye pamoja kwa maisha (marriage or cohabitation) ni hatua ya kwanza kabisa kufikia haya na umeandika vizuri nimejifunza hata ambayo nilikuwa nayajua.

Shunie , unatisha kwa Je' Wajua imekaa poa sana na hii ya leo kuna kitu nimekiona nakifahamu, lile ziwa Natron niliwahi kwenda pale wakati wa study tour nikiwa shule ya sekondari (miaka kama 11 iliyopita) nilifurahia tour hiyo ambayo sijawahi kuifanya tena. Huwa nawaambia vijana kuwa ukishindwa kutalii ukiwa shule basi kuna uhakika mkubwa utalii ukawa unausoma magazetini tu.

Asanteni wadau Wick , Slim5 na Kapwil kwa kulichangamsha jukwaa

Na kama kawaida nauliza tu, KUNA JIPYA?
 
Mkilala msali Rosary ,mwezi huu nawakumbusha tu ,wale wenzangu na mm wa Iman hy
IMG-20181002-WA0036.jpg
 
Hata sijui kama saa hizi ninaruhusuiwa kuuliza chochote hapa maana nimepata maarifa mazuri na adimu kuyapata sehemu nyingine.

Asante Numbisa kwa makala nzuri, na leo unajua nini, zimekuwa fupifupi na zinaeleweka vizuri, dating ni kitendo sahihi kama unampango wa kuwa na mtu wa kuishi naye pamoja kwa maisha (marriage or cohabitation) ni hatua ya kwanza kabisa kufikia haya na umeandika vizuri nimejifunza hata ambayo nilikuwa nayajua.

Shunie , unatisha kwa Je' Wajua imekaa poa sana na hii ya leo kuna kitu nimekiona nakifahamu, lile ziwa Natron niliwahi kwenda pale wakati wa study tour nikiwa shule ya sekondari (miaka kama 11 iliyopita) nilifurahia tour hiyo ambayo sijawahi kuifanya tena. Huwa nawaambia vijana kuwa ukishindwa kutalii ukiwa shule basi kuna uhakika mkubwa utalii ukawa unausoma magazetini tu.

Asanteni wadau Wick , Slim5 na Kapwil kwa kulichangamsha jukwaa

Na kama kawaida nauliza tu, KUNA JIPYA?
Marahaba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom