Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
KheeeeeNakupa mang'ombe yote uyauze !..
KheeeeeNakupa mang'ombe yote uyauze !..
hakufikii upekepeke huyu!.. wewe saa sita mchana unatunachomama bado!
Sawa mkandakwetu Gamboshi a.k.a wakanda... utanambia nini wewe!😀..
sifa yangu ingine ni muuza ndizi mzoefu!..huijui tu!.
Bibi hayo mambo ameshamalizia kwenye ujana wakememiss maji ya hiriki na kubebwa kuoga!.🙂
Vyote
Nakutumia picha pm uone je mm ni Bibi auMwenyewe nakuwa perpendicularly na umri wenu!..
Bosi upo
Aaaghh ebu acha hizi habariEti mmerudishaaaa ngapi
Jitafakari Upya;
KAMA UNAFIKIRI KULIA NDIO JIBU LA MATATIZO YAKO ENDELEA KULIA ILA KAMA UMESHAJUA HAILETI SULUHISHO LA SHIDA YAKO NYAMAZA KIMYA UFURAHIE HII MIAKA MICHACHE TULIOPEWA NA MUNGU KUISHI HAPA DUNIANI.
USIKUZE JAMBO UKIFIKIRI WEWE NDIO ULILIANZA HILO JAMBO, WENGI WAMEPITIA NA LEO HII WANAJUA YOTE YANAPITA SASA IWEJE LEO WEWE UNAABUDU TATIZO LAKO? HEBU CHUKUA ANGALAU DAKIKA TANO UJIULIZE TANGU UHANGAIKE KUMWANDIKIA VIJEMBE ALIYEKUKOSEA UMEFAIDIKA NA NINI? CHA KUUMIZA ZAIDI WALA HATA HASHTUKI KWA VITUKO VYAKO, ELEWA CHOCHOTE KINACHOTOKEA KATIKA MAISHA YAKO KINA MAANA NZURI TU SEMA HUWEZI KUIJUA KWA SABABU UMEJAA MALALAMIKO SANA NA KUJIONA WEWE NI MTU WA MIKOSI HUKU UNASEMA UMEOKOKA!!
KULIA NI KAWAIDA KWA MWANADAMU KWA JAMBO LILOUMIZA MOYO WAKE ILA KULIA HUKO KUSIWE NDIO SALA YAKE.
MUNGU AKUPE MWANGA KUYAJUA HAYA ZAIDI NA ZAIDI.
Mmelala
AmeeenTUOMBE:Baba yetu na Mungu wetu asante kwa ajili ya jumapili ya leo tarehe 30 Septemba 2018Tunashukuru umetuamsha salama ..Asante kwa ajili ya wote wanaotuzunguka wamekuwa baraka kwetu na Asante kwa ajili ya maisha yetu na imani yetu kwako Roho Mtakatifu kaa nasi endelea kutuimarisha.Tusamehe Baba kwa kila ambalo tumeenda kinyume na mapenzi yako uturehemu Tunaomba jumapili ya leo ikawe ya baraka tuingiapo na kutoka kila tutakapoabudu onekana katika ibada zote Baba tutoke tukiwa tumepokea yote uliyotuandalia..tunaomba wabariki watumishi wa Mungu wakatumiwe vyema na Roho wako Baba.ponya wagonjwa,fariji wafiwa ..wape tumaini wajane,wagane na yatima ..tumaini liwe kwako tu Mfalme wa Amani.Tunakabidhi kila tunalopitia katika maisha yetu Baba tunajua kwako liko jibu.Bariki kazi za mikono yetu na Bariki sadaka zetu za leo zote uzitakase ziwe njema machoni pako.Endekea kuwaongoza watoto wetu na wajukuu wetu waendelee kukutafura kwa bidii kukupenda na kukutumikia tunakabidhi maisha yao ,njia tao,mawazo yao na haja za mioyo yao ziwe kwako .Endelea kuimarisha familia zetu imarisha upendo na mshikamano na Baba tujengee tabia ya kukuitankwa kila tunalopitia tutende kwa utukufu wa jina lako takatifu.Tunaomba yote katika jiba la Yesu Kristo Amen.
JUMAPILI NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE![]()
KhaaaaaNiletee nyanya tenga 1000 hapa Bunju nilishie ng'ombe mkuu
Fans wa Simba Sc oyooooooooooooooo
Jamani najiona mm daah
Hivyo vijembe huwa unaweka wapi shosti mbona sivionagi? Kila mmoja ana matatizo usione tunatype hivi tuna mengi sana,unakuta mtu anatype na kuchat kwa furaha kumbe hali halisi analia basi tu ili kufurahisha marafiki wa mtandaoni anatype tofauti na hali halisi huko alipo.


Hapana sio vijembe kipenzi kuhusu kulia yaani