Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,288
- 95,585
Za week end wazalendo wa humu
Nakupa mang'ombe yote uyauze !..Nishawishi
Hivi unanitaka nn lakini
Za week end wazalendo wa humu
mie kwetu jiji sasa!.. Tunaambiana Mambo bee, hiyo bee wasukuma tumeislang toka Bae!...Sio jiji ndio maana nakuamkia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hakufikii upekepeke huyu!.. wewe saa sita mchana unatunachomama bado!Kanizidi huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nzuri kabisaSafi habari yako
kwetu Gamboshi a.k.a wakanda... utanambia nini wewe!😀..Mjazeeeee mwenzio aniona mm kama bibi yake aliyemuacha koromije uko
sifa yangu ingine ni muuza ndizi mzoefu!..huijui tu!.Khaaaa
We dada unataka ushawishiwe na mahela tena au mishkaki
memiss maji ya hiriki na kubebwa kuoga!.🙂Hivi unanitaka nn lakini
Niko bored
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mjazeeeee mwenzio aniona mm kama bibi yake aliyemuacha koromije uko
VyoteKhaaaa
We dada unataka ushawishiwe na mahela tena au mishkaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakupa mang'ombe yote uyauze !..
Haya beeemie kwetu jiji sasa!.. Tunaambiana Mambo bee, hiyo bee wasukuma tumeislang toka Bae!...
Shaurilo utashangaa mm ndo mbibi sasahakufikii upekepeke huyu!.. wewe saa sita mchana unatunachomama bado!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sifa yangu ingine ni muuza ndizi mzoefu!..huijui tu!.
ukiisema wewe ni kama wahehe.. bee, jaa, ndaga.. ndo maneno yao!.. SITAKI UISEME HIYOHaya beee
Mwenyewe nakuwa perpendicularly na umri wenu!..Shaurilo utashangaa mm ndo mbibi sasa