Makapuku Forum

Semeni kweli jamani
Kapwil ndio hayo mahela kwa avatar yako eenh
Zawadi anapata ni yy tu kusema nimpe kwa njia atoe maelekezo
Nikutumie kwa njia gani
Mtumie tigopesa Shunie
Mwambie atume namba
Nitumie namba yake
Mke mweee njoo na no upate tigopesa Shunie
Atakupatia mkuu ngoja aje
 
Niko hapa kapwil
Kuna shida gani jamani
@Tumosa naomba unitafutie popote alipo mwambie namtafuta sana
Mabadiliko gani ndg
Hata mm kichwa changu chepesi.namuhitaji anifundishe zaidi
Amekuwa muungwana sana kwangu.ni kweli darasa tosha.VP umeona kuna mabadiliko.
Mwalimu wako yupo,kapumzika kuingia jf kama kuna lolote nambie nitamfikishia
@tumosa umempeleka wapi shunie?
 
Moto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
moto hauzimiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…