Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tell somone you love them today ,Tomorrow's not guaranteed.

Unauwezo wa kuwaonyesha watu unawapenda leo waonyeshe ,Unawezo wa kuwasaidia watu leo wasaidie, unauwezo wa kumfanya mtu ajisikie furaha ,ajisikie amani ,ajisike anapendwa fanya leo .Kesho unaweza ukakosa hiyo nafasi.

Never take life for guaranteed.Una ndugu kuna kitu unaweza kuwafanyia wafanyie leo, Uko na watoto kuna jambo unaweza kuwafanyia wafanyie leo.Uko na mume mke kuna kitu unaweza kumfanyia mfanyie leo. Uko na marafiki kuna kitu unaweza kuwafanyia do it today.Unaweza kuonyesha unawapenda do it today

Una watu wako hapa unaweza ukawaonyesha upendo wako, unaweza kuwambiaa unawapenda waambie sasa ,waonyeshe sasa kuwa unawapenda.Non of us have guaranteed life so show love to them now.Tell them you love them now.

Kuna watu wanatamani ndugu zao wawepo wawaambie wanawapenda ,wanatamani ndugu zao wawaonyeshe upendo lakini hawapo, Kuna watu wanatamani wawaonyeshe wazazi wao upendo lakini hawapo ,kuna wengine wanatamani wawaonyeshe upendo wapendwa wao sasa lakini hawapo.

I think the best thing you can do is to tell somebody that you love them today...jWakati Mwingine huna uhakika kama watakuwa hapa kesho.Wao pia hawana uhakika kama wewe utakuwa hapa Kesho.So do it today.
"PLEASE DO IT TODAY"

Huu ujumbe uko na Nguvu ndani yake. I can feel it in my Spirit.

"I LOVE YOU."
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom