Makapuku Forum

Makapuku Forum

nitamuelewa akishabikia yoyote mradi isiwe Man U..
@shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani jamani mbona Wick wangu mbahili hivi khaaaaa SHIMBA YA BUYENZE View attachment 867140
IMG_20180913_173141_323.jpg
 
Kama bro bado mbahili basi jua kuwa hujamfikisha anapotaka afike. We endelea na safari tu wala usikate tamaa. Ukimfikisha unakotaka kumpeleka mwenyewe utaleta mrejesho hapa. Hakuna mwanaume mkarimu, mpole, anayejua kujali na mwenye ubinadamu kama Msukuma !!! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
NAKAZIA!!
 
Back
Top Bottom