ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Duhhh![]()
Wanaziachia nn tena jamaniHuwa siku nyingine wanaziachia tu hata kwangu ni hivyo.
Shunie weekend iko powa?
Habari yako binti

roho wa bwana azidi kukuongoza uwe unasalimia hivohivo
Safi mkuu mambo yanaenda
roho wa bwana azidi kukuongoza uwe unasalimia hivohivo
Nzurii binti
Kuna jamaa yangu anacheza Biko kupata laki 1 kwake kawaida sana!.. Nicheze mimi sasa, nishaona hii michezo hainifai!..Wanasem ukiliwa sana badae unashinda tu
Lote mzee, huku nyama za kumwaga tu.Huku nilipo mimi nyama kilo 5000
Hilo paja ni lote au mpaka liondolewe nyama zake
kiasi gani!?.Naomba uniletee nyama basi
aahh we unakaa wapi!?..Babe acha kunizuga bana kama mm wa kuja halafu magomeni karibu nitakuwa mgeni wako kila siku
nitamuelewa akishabikia yoyote mradi isiwe Man U..
Kuna jamaa yangu anacheza Biko kupata laki 1 kwake kawaida sana!.. Nicheze mimi sasa, nishaona hii michezo hainifai!..
Lote mzee, huku nyama za kumwaga tu.
kiasi gani!?.
aahh we unakaa wapi!?..